Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyefika Ikulu kwa ajili
ya mazungumzo na Rais Dkt. Magufuli.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya
kumaliza mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.PICHA NA IKULU.
SHARE
No comments:
Post a Comment