Banda
la Chuo cha Kiislamu cha Morogoro katika maonesho ya vyuo Vikuu
yaliyoandaliwa na Taasisi ya Vyuo vikuu hapa nchini(TCU)yanayoendelea
kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Julai
20,21,22 mwaka huu.
Waziri
wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akitembelea
katika banda la chuo cha Kiislamu cha(MUMO) yanayoendelea kufanyika
katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam Julai,20,21,n1 22 mwaka
huu.
Waziri
wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akisaini
Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la Maonesho ya
Chuo cha Kiislamu cha Morogoro(MUMO) yanayoendelea kufanyika katika
viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Elimu,Sayansi,Teknolojia na Ufundi Prof.Joyce Ndalichako akipata
maelekezo na Mwalimu wa Chuo cha Kiislamu cha Morogoro (MUMO)
alipotembelea katika banda la Chuo hicho katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wananchi wakipewa maelekezo walipotembelea katika banda la chuo cha
Kiislamu cha Morogoro walipotembelea katika banda hilo katika maonesho
yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa kituo cha confucius wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro,Sun
Xiaofei akitoa maelekezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea banda la
Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro yanayoendelea kufanyika katika
viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam leo.
Mwalimu wa Taasisi ya Confucius iliyopo katika chuo kikuu cha Kiislamu cha Morogoro, Chang Yue akitoa maelekezo yanayoendelea katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment