TRA

TRA

Saturday, July 23, 2016

JK KUKABIDHI KIJIKI LEO KWA DKT JOHN POMBE MAGUFULI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Sehemu ya Meza kuu kama ionekanavyo pichani tayari wamekwisha ingia ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) kukamilisha mchakato wao wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama hicho cha CCM.Pichani kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Mwenyekiti wa CCM ambaye leo anatarajiwa kukabidhi kijiti kwa Mwenyekiti Mpya,Rais wa awamu ya nne Dkt Jakaya Kikwete,Makamu Mwenyekiti Zanzibar Rais Dkt Shein pamoja na Mwenyekiiti mtarajiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa ratiba na miongozo mbalimbali kwa Wajumbe wapatao zaidi ya 2000 wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao tayari wako ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) kukamilisha mchakato wao wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama hicho cha CCM.
Mwanana mahiri wa nyimbo za Taarab kutoka kundi la Tot Plus Khadija Kopa akiimba mbele ya Wajumbe wapatao zaidi ya 2000 wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM ambao tayari wako ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) kukamilisha mchakato wao wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama hicho cha CCM.
Baadhi ya wageni waalikwa kutoka vyama mbalimbali vya upinzani pia wanahudhuria mkutano huu Maalum wa CCM.
Wajumbe wapatao zaidi ya 2000 wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiwa tayari ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) kukamilisha mchakato wao wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama hicho cha CCM.
Baadhi ya wageni waalikwa kutoka vyama upinzani pia wanahudhuria mkutano huu Maalum wa CCM.
Wajumbe wapatao zaidi ya 2000 wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakitumbuizwa ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) ulioko nje kidogo ya mji wa Dodoma,hivi sasa na kundi la TOT Plus likiongozwa na Mwana mama Mkongwe Khadija Kopa,wakati huo Meza kuu ikisubiriwa kuingia ukumbini.

Baadhi ya Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali wakiwa ndani ya ukumbi ambapo leo mkutano Mkuu Maalum wa CCM unafanyika kwa ajili ya kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama cha Mapinduzi (CCM) kwa miaka kumi,Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kukabidhiwa kijiti hicho kutoka kwa Mwenyekiti ambaye anamaliza muda wake leo, Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete,mkutano huo unafanyika ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) ulioko nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Wajumbe wapatao zaidi ya 2000 wa mkutano Mkuu Maalum wa CCM wakiwa tayari ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) kukamilisha mchakato wao wa kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama hicho cha CCM.
Baadhi ya Wanachama wakongwe wa chama cha CCM Ali Ameiri Mohammed akizungumza jambo na Mzee Makamba,kabla ya mkutano kuanza rasmi kuanza.
Baadhi ya Wageni waalikwa kutoka sehemu mbalimbali wakiwa ndani ya ukumbi ambapo leo mkutano Mkuu Maalum wa CCM unafanyika kwa ajili ya kumchagua Mwenyekiti mpya wa chama cha Mapinduzi (CCM) kwa miaka kumi,Rais John Pombe Magufuli anatarajiwa kukabidhiwa kijiti hicho kutoka kwa Mwenyekiti ambaye anamaliza muda wake leo, Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Dkt Jakaya Kikwete,mkutano huo unafanyika ndani ya ukumbi wa Dodoma Convetion Center (DCC) ulioko nje kidogo ya mji wa Dodoma.
Ni Shangwe tuu hivi sasa ndnai ya ukumbi

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger