Mkuu
wa Wilaya ya Kinondo jijini Dar es Salaam, Ally Salum(watatu kushoto)
akikata utepe kuashiria kupokea kwa madawati 500 yaliyotolewa na Vodacom
Tanzania Foundation kwa ajili ya shule 5 za kata ya Mwananyamala
Kisiwani.Hafla hiyo ilifanyika katika Shule ya msingi Mchangani iliyopo
mwananyamala Kisiwani jijini.Kutoka kushoto Mwalimu Mkuu wa shule
hiyo,Janester Emily,Kaimu Afisa elimu shule za msingi
kinondoni,Chitegese Dominic, Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano
wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu na Mkuu wa kitengo cha Vodacom
Tanzania Foundation,Renatus Rwehikiza.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salam,Ally Salum akiwasisitiza
jambo baadhi ya wanafunzi wa darasa la 4 wa shule ya msingi Mchangani
iliyopo Mwananyamala Kisiwani jijini, wakati wa hafla ya kupokea msaada
wa madawati 500 kwa ajili ya shule za 5 za kata ya Mwananyamala
Kisiwani yaliyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Ally Salum akimsalimia
mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Mchangani iliyopo
Mwananyamala Kisiwani jijini, Hashim Jumanne baada ya kupokea msaada wa
madawati 500 kwa niaba ya shule za 5 za kata ya Mwananyamala Kisiwani
yaliyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation jana.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondo jijini Dar es Salaam, Ally Salum akiongea na
wanafunzi pamoja na Uongozi wa Shule ya msingi Mchangani iliyopo
mwananyamala Kisiwani, wakati wa hafla ya kupokea msaada wa madawati 500
yaliyotolewa na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya shule za 5 za
kata ya Mwananyamala Kisiwani,Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano
na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Jacquiline Materu na Mkuu wa kitengo
cha Vodacom Tanzania Foundation,Renatus Rwehikiza.
Baadhi
ya wanafunzi wa Shule ya msingi Mchangani iliyopo mwananyamala Kisiwani
jijini Dar es Salaam,wakiwa wamekalia madawati kati ya 500 yaliyotolewa
msaada na Vodacom Tanzania Foundation kwa ajili ya shule 5 za kata ya
Mwananyamala Kisiwani,wakati wa hafla ya makabidhiano ya madawati hayo
jana.
SHARE
No comments:
Post a Comment