I
Mkuu wa
Kitengo cha Uhandisi wa anga katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT
Eng. Azizi Mdimi akimuonesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani injini ya ndege inayotumika kwa mafunzo
wakati alipokagua Hanga katika chuo hicho.
Mkuu wa
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa
akimuonesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin
Ngonyani moja ya kitabu kinachotumiwa kufundishia marubani na wahandisi
wa ndege alipotembelea maktaba ya chuo hicho.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akikagua
mtambo unaopima magari ili kujua ubora wake kabla ya kuanza kutumika
hapa nchini alipotembelea Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT.(Picha na
Benjamin Sawe-Maelezo)
Mkuu wa
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof. Zacharia Mganilwa akifafanua
jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin
Ngonyani alipotembelea Chuo hicho kukagua miundombinu yake.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani akitoa
maelekezo kwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Prof.
Zacharia Mganilwa kuhusu namna nzuri ya kukiwezesha Chuo hicho
kujiendesha kwa faida na kuboresha miundombinu yake.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment