TRA

TRA

Sunday, July 31, 2016

WAZIRI NAPE AONGOZA KUAGA MWILI WA MPIGAPICHA MKONGWE JOSEPH SENGA, JIJINI DAR

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ambaye pia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye jana ameongoza kuuaga mwili wa Mpigapicha Mkuu wa Tanzania Daina, Joseph Senga (pichani), ambaye ni mpigapicha mkongwe, aliyefariki dunia nchini India alikokuwa akipatiwa matibabu. Mwili wa Josefu Senga uliwasili nchini jana, na kuagwa jana, Sinza jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusafirishwa kwenda kuzikwa nyumbani kwao mkoani Shinyanga.

 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Nape Nnauye akitoa heshima kwenye mwili wa marehemu Joseph Senga, Sinza jijini Dar es Salaam, jana
 Naibu Wazri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Anastazia wambura akitoa heshima kwa mwili wa Marehemu Joseph Senga jana Sinza Jijini Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya Free Media wachapishaji wa gazeti la Tanzania taima alilokuwa akifanyia kazi Joseph Senga, akitoa heshima mwa mwili wa marahemu Joseph Senga. Wafuatao ni waombolezaji wengine wakitoa heshima kwa mwili wa marehemu Joseph Senga

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger