Mkuu wa
wilaya ya Kibaha ,Assumpter Mshama ,akielezwa jambo na mkurugenzi
mtendaji wa kiwanda cha Equator Suma Jkt , Robert Mangazeni,kuhusu
kiwanda hicho kinachotarajiwa kutengeneza matrekta na magari ya
zimamoto,kilichopo RuvuJkt ,Mlandizi mkoani Pwani.(Picha na Mwamvua
Mwinyi)

Gari la
zimamoto litakalokuwa la mfano kutengenezwa katika kiwanda cha Equator
Suma Jkt kilichopo Ruvu Jkt,Mlandizi mkoani Pwani, likionekana namna
litakavyokuwa likirusha maji kwa kutumia mipira miwili kwa mara
moja,kiwanda hicho kitakapokamilika kitakuwa na uwezo wa kutengeneza
magari ya zimamoto 50 na matrekta 3,000 kwa mwaka.(Picha na Mwamvua

wilaya ya Kibaha, Assumpter Mshama akizungumza na baadhi ya watendaji na
viongozi ,katika kiwanda cha Equator Suma Jkt ,kilichopo Mlandizi Ruvu
Jkt Mkoani Pwani kabla ya kukitembelea.(Picha na Mwamvua Mwinyi)(P.T)
SHARE

No comments:
Post a Comment