Mkuu wa Wilaya ya Ilemela, Dk. Leonard Masale ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akizungumza
na waandishi wa habari katikabanda la NSSF mara baada ya kufungua rasmi
maonesho ya 11 ya Biashara ya Afrika Masharikialipotembelea banda la
NSSF.
Mwakilishi wa Meneja Kiongozi NSSF Mwanza, Aloyce Limu akizungumza na waandishi wa habari.
Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akitoa elimu kuhusu mafao ya NSSF.
Ofisa
Uandikishaji wa NSSF, Kwandu Ikombe akimsajili mwanachama baada ya
kuelewa somo na kuamua kujisali kama mwanachama wa hiari.
Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akigawa vipeperushi vya taarifa kuhusu NSSF.
Ofisa Mafao wa NSSF, Farida Mkande akitoa elimu kuhusu mafao ya NSSF.
SHARE














No comments:
Post a Comment