Gwaride la wahitimu wa mafunzo ya kijeshi kwa askari na maafisa wa
Hifadhi za Taifa likiingia katika viwanja vya mazoezi katika kambi ya
mafunzo ya Mlele wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence
Milanzi akipokea salamu ya utii kutoka kwa askari wa Shirika la Hifadhi
za Taifa (TANAPA) na Maafisa wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (hawapo
pichani) wakati wa ufungaji mafunzo kwa askari na maafisa hao
yaliyofanyika katika kambi ya mafunzo ya Mlele mkoani Katavi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence
Milanzi akikagua gwaride wakati wa kufunga mafunzo kwa askari wa Shirika
la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na Maafisa wa Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro yaliyofanyika katika kambi ya mafunzo ya Mlele mkoani Katavi

Askari na Maafisa wa Hifadhi wakipita kwa heshima mbele ya mgeni rasmi
kwa mwendo wa pole na haraka wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kijeshi
waliyopata katika kambi ya mafunzo ya Mlele mkoani Katavi ikiwa ni
sehemu ya kubadili utendaji kazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya
Maliasili na Utalii kuendeshwa katika mfumo wa jeshi usu kutoka mfumo wa
kiraia.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence
Milanzi(kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za
Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakipokea salamu za heshima kwa kupiga
saluti wakati gwaride likipita mbele kwa heshima wakati wa ufungaji wa
mafunzo kwa askari wa shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) na Maafisa wa
Mamlaka ya Hifadhi ya taifa Ngorongoro.
Bendi ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) ikipita mbele ya mgeni
rasmi (hayupo pichani) wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kijeshi kwa
askari na maafisa wa Hifadhi ,Mafunzo yaliyofanyika katika kambi ya
Mlele mkoani Katavi.
Askari na Maafisa wa Hifadhi za Taifa wakionesha umahiri katika
matumizi ya silaha wakati wakionesha kwa vitendo mafunzo ya kijeshi
waliyopata katika kambi ya Mlele mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya
kubadili utendaji kazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na
Utalii kuendeshwa katika mfumo wa jeshi usu. 
Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
Witness Shoo (kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Uhifadhi Mtango
Mtahiko wakifuatilia maonesho ya matumizi ya silaha kutoka kwa wahitimu
hao.
Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal
Shelutete akisherehesha wakati wa ufungaji wa mafunzo ya kijeshi kwa
askari na Maafisa wa Hifadhi waliyopata katika kambi ya Mlele mkoani
Katavi ikiwa ni sehemu ya kubadili utendaji kazi wa taasisi zilizo chini
ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuendeshwa katika mfumo wa jeshi usu.
Askari na Maafisa wa Hifadhi wakionesha umahiri katika matumizi ya
silaha wakati wakionesha kwa vitendo mafunzo ya kijeshi waliyopata
katika kambi ya jeshi ya Mlele mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya kubadili
utendaji kazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii
kuendeshwa katika mfumo wa jeshi usu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence
Milanzi,Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan
Kijazi pamoja na Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro
,Freddy Manongi wakifuatilia maonesho hayo. 




Askari na Maafisa wa Hifadhi wakionesha umahiri katika matumizi ya
silaha wakati wakionesha kwa vitendo mafunzo ya kijeshi waliyopata
katika kambi ya Mlele mkoani Katavi ikiwa ni sehemu ya kubadili utendaji
kazi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii
kuendeshwa katika mfumo wa jeshi usu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence
Milanzi akitizama matundu ya risasi zilizolengwa na mmoja wa askari wa
uhifadhi waliohitimu mafunzo ya kijeshi katika kambi ya Mlele mkoani
Katavi.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa
(TANAPA) Allan Kijazi.
Wakufunzi wa Mafunzo ya kijeshi kwa maofisa na askari wa Hifadhi za
Taifa wakitambulishwa mbele ya mgeni rasmi,(hayupo pichani).
Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro Lilian Magoma akisoma
risala kwa niaba ya wahitimu wenzake wa mafunzo ya kijeshi yaliyofanyika
katika kambi ya Mlele iliyopo mkoani Katavi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Meja Jenerali Gaudence
Milanzi akitunuku vyeti kwa askari na maafisa wa uhifadhi waliohitimu
mafunzo ya kijeshi katika kambi ya Mlele mkoani Katavi.
Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Getrude Lyatuu akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo. 
Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro,Freddy Manongi akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo. 
Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori Alexander Songorwa akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)Allan Kijazi akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi
akimkaribisha Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali
Gaudence Milanzi kuzungumza na wahitimu wa mafunzo ya kijeshi kwa askari
na maofisa wa Hifadhi za Taifa .
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence
Milanzi akizungumza wakati wa ufungaji wa mafunzo kwa askari na maofisa
wa Hifadhi za Taifa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence
Milanzi na viongozi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na
Utalii wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii,Meja Jenerali Gaudence
Milanzi na viongozi wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na
Utalii wakiwa katika pichaya pamoja na wahitimu wa mafunzo ya kijeshi
yaliyofanyika katika kambi ya Mlele mkoani Katavi. Na Dixon Busagaga wa
Michuzi Blog ,Kanda ya Kaskazini.
SHARE








No comments:
Post a Comment