TRA

TRA

Tuesday, September 6, 2016

NAIBU WAZIRI MPINA AKAGUA MIUNDO MBINU YA DAWASCO

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Naibu Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akisisitiza jambo kwa kaimu mkurugenzi wa Uzalishaji na usambazaji wa maji  Dawasco Injinia Aroun Joseph mara baada kufanya ziara ya kukagua miundo mbinu ya dawasco.                           

Naibu Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akitoa maelekezo kwa Mwanasheria kutoka Baraza la Usimamizi wa Mazingira Nchini NEMC Manchare Heche jinsi ya kuweza kushughulikia tatizo la utririshaji maji taka.                          

 Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji maji kutoka Dawasco injinia  Aroun Joseph akielezea jambo mbele ya naibu waziri Mh.Luhaga  Mpina mara baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa miundo mbinu ya Dawasco (P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger