Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiweka jiwe la msingi la funguzi wa hotel ya Ramada Encore yenye hadhi
ya nyota 5 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli
hiyo Bw. Abdul Ismail.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa hoteli ya Ramada Encore
iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
(kulia)akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Hoteli Ramada Encore Bw.
Abdul Ismail wakati wa halfa fupi wa uzinduzi wa Hotel ya Ramada Encore
jijini Dar es Salaam.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua hoteli ya
nyota 5 ya Ramada Encore katikati ya jiji la Dar es salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment