TRA

TRA

Tuesday, September 13, 2016

Ripoti yabaini viongozi Sudan Kusini wanafaidika na vita vinavyoendelea

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Rais Salva Kiir,kiongozi wa upinzani Riek Machar na mkuu wa jeshi pamoja na familia zao wanafaida zinazofanana
Rais Salva Kiir,kiongozi wa upinzani Riek Machar na mkuu wa jeshi pamoja na familia zao wanafaida zinazofanana
Waziri wa habari Sudan Kusini amesema kuwa serikali haitajibu madai ya ripoti mpya inayodai kuwa viongozi wa nchi hiyo wananufaika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vinayoendelea nchini humo.
Michael Maquei Lueth amesema kuwa serikali ina mambo mengi ya kusema kuhusu madai hayo lakini itafanya hivyo ikiwa itapatiwa rasmi taarifa za kina.
Ripoti iliyosimamiwa na muigizaji wa Hollywood na mwanakampeni George Clooney inadai kuwa Rais Salva Kiir,kiongozi wa upinzani Riek Machar na mkuu wa jeshi pamoja na familia zao wanafaida zinazofanana.
Inawaunganisha wasomi wa Sudan Kusini katika mchezo wa fedha unaojumuisha nyumba za kifahari, migodi ,mafuta na kampuni nyengine.
Vita hivyo vilivyoanza 2013 vimedhoofisha uchumi wa nchi
Vita hivyo vilivyoanza 2013 vimedhoofisha uchumi wa nchi. BBC 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger