Baadhi ya washiriki wakijadiliana jambo baada ya kupata mafunzo juu ya uwekezaji katika miradi ya umma.
Naibu Katibu Mtendaji –Uchumi jumla kutoka Tume ya Mipango Bi. Lorah
Madete, akiwaonyesha maafisa mipango kutoka mikoa ya Arusha, Tanga, na
Kilimanjaro mwongozo wa kusimamia uwekezaji wa miradi ya Umma.
Washikiri wa mafunzo ya Uwekezaji katika miradi ya umma wakifuatilia kwa makini mafunzo.
SHARE
No comments:
Post a Comment