Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi,Zainab Telack akikata utepe kuashiria kupokea madawati yaliyotolewa na kampuni ya Acacia.
Mkuu
wa Mkoa wa Shinyanga ,Bi Zainab Telack (aliye vaa ushungi) akiongozwa
na Meneja wa Ustawi na Mahusiano ya Jamii wa Mgodi wa Dhahabu wa
Bulyanhulu Elias Kasitila (kushoto kwake) wakati wakielekea uwanja wa
Taifa wa mjini Kahama kwa ajili ya makabidhiano ya Madawati kutoka
kampuni ya Acacia.
No comments:
Post a Comment