
Mgeni
Rasmi katika uzinduzi wa Kampuni ya Clarkson Insurance Brokers
inayojishughulisha na masuala ya bima Bw. Godfrey Simbeye ambaye ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF akionyesha zawadi aliyokabidhiwa na
Mwenyekiti wa Kampuni ya Clarkson Insurance Brokers Justin Lambert mara
baada ya uzinduzi wa kampuni hiyo uliofanyika kwenye hoteli ya Hyyat
Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

Mgeni
Rasmi katika uzinduzi wa Kampuni ya Clarkson Insurance Brokers
inayojishughulisha na masuala ya bima Bw. Godfrey Simbeye ambaye ni
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF akizungumza wakati alipozindua Kampuni ya
bima ya Clarkson Insurance Brokers kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro
Kempinski jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Parkal Randall ambayo ni Kampuni Tanzu ya
Clarkson Insurance Brokers Bw. Coutts Otolo akizungumza kwenye uzinduzi
wa kampuni ya Clarkson Insurance Brokers inayojishughulisha na masuala
ya bima, katika uzinduzi uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya
Hyyat Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki

Jaji Mkuu
wa Tanzania Mh. Mohamed Othman Chande akisalimiana na Mkurugenzi wa
Uendeshaji wa Biashara wa Kampuni ya JUNACO Group Of Companies Limited
ambayo ni Mwanahisa Mzawa Bw. Anic Kashasha wakati wa uzinduzi wa
Kampuni ya Bima ya Clarckson Insurance Brokers jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti
wa Kampuni ya Clarkson Insurance Brokers Justin Lambert akizungumza
wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo uliofanyika kwenye hoteli ya Hyyat
Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam.

Meneja Mkuu wa Kampuni hiyo Tanzania Bw.Patrick Marimo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari .

Jaji Mkuu
wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman akizungumza na Balozi Mstaafu
Peter Kalaghe wakati wa uzinduzi wa kampuni ya Clarkson Insurance
Brokers inayojishughulisha na masuala ya bima katika uzinduzi
uliofanyika mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro
Kempinski jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Parkal Randall ambayo ni Kampuni Tanzu ya
Clarkson Insurance Brokers Bw. Coutts Otolo.

Jaji Mkuu
wa Tanzania Mh. Mohamed Chande Othman akimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Kampuni ya Parkal Randall ambayo ni Kampuni Tanzu ya Clarkson
Insurance Brokers Bw. Coutts Otolo wakati walipokuwa wakibadilishana
mawazo kwenye uzinduzi wa kampuni ya Clarkson Insurance Brokers
inayojishughulisha na masuala ya bima, katika uzinduzi uliofanyika
mwishoni mwa wiki kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro Kempinski jijini
Dar es salaam mwishoni mwa wiki

Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Parkal Randall ambayo ni Kampuni Tanzu ya
Clarkson Insurance Brokers Bw. Coutts Otolo wa tano kutoka kulia na
Justin Lambert Mwenyekiti wa Kampuni ya Clarkson wakikata keki
kuashiria uzinduzi wa kampuni hiyo katika ofisi yao iliyopoghorofa ya
nane jengo la IPS Mtaa wa Samora jijini Dar es salaam kabla ya
uzinduzi rasmi.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment