
Mkuu
wa wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu (kulia)akipokea moja kati ya
madawati 135 yenye thamani ya shilingi milioni 22/- kwa mkoa wa Mtwara
toka kwa Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani, Goodluck Charles kwenye
makabidhiano yaliyofanyika shule ya msingi Maendeleo, manispaa ya Mtwara
jana.

Mkuu
wa wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu (kulia)akiwa ameketi na
mkurugenzi wa Tigo kanda ya Pwani Goodluck Charles mara baada ya
makabidhiano ya madawati 135 kwa manispaa ya mkoa wa Mtwara . Hafla
iliyofanyika shule ya msingi Maendeleo jana,

Mkuu
wa wilaya ya Mtwara Dkt. Khatibu Kazungu (kulia) na mkurugenzi wa Tigo
kanda ya Pwani Goodluck Charles, wanafunzi wa shule ya msingi maendeleo,
Hajira Shaibu (wa pili kulia), Ezra Joseph na mwalimu wao Fabiola
Haule(kushoto) wakiwa wameketi mara baada makabidhiano ya madawati 135
kwa manispaa ya Mtwara jana

Mkuu
wa wilaya ya Mtwara Dkt Khatibu Kazungu na mkurugenzi wa Tigo kanda ya
pwani Goodluck Charles wakiwa wamepozi na viongozi mbalimbali wa
manispaa ya wilaya ya Mtwara Mikindani kwenye hafla ya makabidhiano ya
madawati jana.

Mwalimu
mkuu wa shule ya Msingi Maendeleo manispaa ya Mtwara, Fabiola Haule
akitoa neno la shukrani kwa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo jana,
mara baada ya kupokea madawati.
Wanafunzi wakifurahia (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment