Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akikabirishwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo na Katibu mkuu huyo wa CCM, leo.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana kwenda eneo la kufanyika mazungumzo, katika Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akisaini kitabu cha wageni baada ya
kuwasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam, kwa
ajili ya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungmza na Waziri Mkuu, Majaliwa
Kassim Majaliwa, leo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba
jijini Dar es Salaam. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO- theNkoromo Blog. (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment