Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kushoto) akifungua Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Neema C. John (Kushoto) akisoma agenda za Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo
Mmoja wa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw. Migangala S. Milenge (Katikati) akichangia mada wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kulia) akifafaua hoja mbalimbali wakati wa Mkutano huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Katikati waliokaa) mara baada ya kumalizia Mkutano huo.
SHARE
No comments:
Post a Comment