Ni
onyesho la sanaa za ufundi nchini Sweden lililoandaliwa na msanii
kutoka Tanzania Kennedy Mmbando. Lengo la onyesho hilo ni kutangaza
uzuri wa mazingira aa Tanzania pamoja na umuhimu wa kumlinda myama
Tembo. Onyesho linaendelea mpaka December 14
SHARE















No comments:
Post a Comment