Wafanyakazi
wa Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Kilimanjaro (KCRI) wakiwa
katika picha ya pamoja na zawadi walizopeleka katika kituo cha kulelea
Watoto Yatima cha Upendo cha mjini Moshi.
Zawadi ya Kei iliyotolewa kwa watoto wa kituo cha Upendo cha mjini Moshi.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu
Kilimanjaro,(KCRI) Profesa Blandina Mbaga akisalimiana na Msimamizi wa
kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo cha mjini Moshi Sister
Yasinta walipofika kwa ajili ya kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.
Msimamizi wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo cha mjini
Moshi,Sister Yasinta Diwi akiwaeleza historia ya kituo hicho wafanyakazi
wa taasisi ya utafiti ya magonjwa ya binadamu Kilimanjaro (KCRI).
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Kilimanjaro
(KCRI) Prof Blandina Mbaga akizungumza na Mkurugenzi wa fedha Hosptali
ya Rufaa ya KCMC,Hilda Mungure (katikati) na Elizabeth Msoka.
Baadhi
ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu Kilimanjaro
(KCRI) wakiwa wamebea zawadi kwa ajili ya watoto wa kituo cha Upendo
cha mjini Moshi.
Msimamizi wa Kituo cha Upendo cha mjini Moshi ,Sista Yasinta Diwi
akiwaongoza watoto wanaolelewa katika kituo hicho kuwaimbia wageni
waliofika katika kituo hicho kwa ajili ya kutoa zawadi. (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment