Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa
Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior
aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng Mabior
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mke wa
Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior mara
baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mabior Garang
Mtoto wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Hayati John Garang De
Mabior Ikulu jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment