
Sehemu ya
Majengo ya Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (Accountancy Profession
Center-APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)
kilichofunguliwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango
(Mb) kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, katika eneo la
Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam

Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akiwasili katika viunga
vya kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya Uhasibu na Wakaguzi
wa Hesabu (NBAA) katika aneo la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam na kulakiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya NBAA Prof. Isaya Jairo
(Katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Pensheni wa watumishi wa
Serikali-GEPF, Bi. Joyce Shaidi

Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akisalimiana na
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Musa Juma
Assad, kabla ya kuzindua Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya
Uhasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwa niaba ya Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam.

Waziri wa
Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (wa tatu kutoka kulia)
akiambatana na wakandarasi waliojenga Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC)
pamoja na wajumbe wa Bodi na Uongozi wa NBAA, kukagua baadhi ya
miundombinu ya kisasa iliyopo katika kituo hicho kilichopo katika eneo
la Bunju, Nje kidogo ya Jiji la Dar es salaam.

Waziri wa
Fedha na Mipango. Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), akikata utepe kuashiria
kufunguliwa rasmi kwa Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (APC) cha Bodi ya
Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kwaniaba ya Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, katika eneo la Bunju, nje kidogo ya Jiji la Dar es
salaam.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment