Mwenyekiti
ya bodi ya taasisi ya Haki elimu nchini, Profesa Martha Qorro akifungua
pazia kuashira uzinduzi wa dira ya mwaka 2017 mpaka 2021 nchini.
Mwenyekiti
ya bodi ya taasisi ya Haki elimu nchini, Profesa Martha Qorro
akihutubia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa Dira ya tasisi hiyo kuanzia
2017-2021.
Mkurugenzi
wa taasisi ya haki elimu nchini,John Kalaghe akizungumza wakati wa
mkutano wa uzinduzi wa Dira ya haki elimu 2017-2021.

Baadhi ya wahariri mbalimbali wa vyombo vya habari walioshirikikatika uzinduzi huo wakifatilia kwa makini.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment