TRA

TRA

Saturday, January 14, 2017

MAJALIWA ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI YA PAMOJA YA SMT NA SMZ KUHUSU MASUALA YA MUUNGANO

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


MUUN4
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu akiongoza Kikao cha Kamati  ya Pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya  MapinduzI ya Zanzibar kuhusu masuala ya Muungano kilichofanyika kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar, Januari 13, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MUUN1
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu wakati alipoongoza kikao chao kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar Januari 13, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
MUUN2
 Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya pamoja ya Serikali ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakimsikiliza Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu wakati alipoongoza kikao chao kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi mjini Zanzibar Januari 13, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger