Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri
Tanzania (TEF), Neville Meena (katikati) akizungumza katika mkutano ana
waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu tamko la vyombo vya
habari la kususia kuandika habari za matukio ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Paul Makonda ambaye ijumaa iliyopita alivamia kituo cha Clouds
Media usiku akiwa na askari waliokuwa na bunduki. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa Dar Press Club, Shadrack Sagati na Mjumbe wa TEF, Lillian
Timbuka.PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG;0754264203
Meena ambaye alisoma tamko la
pamoja la TEF, Dare sSalaam Press Club na Umoja wa Vilabu vya Habari
nchini akijibu moja ya maswali ya wanahabari
Wanahabari wakiwa kazini
Meena akifafanua jambo
Meena akisisitiza kuwa mwandishi
yeyote atakayekiuka tamko hilo kwa kwende kwenye matukio ya RC Makonda,
litakalompata TEF haitahusika kwa lolote.
SHARE
No comments:
Post a Comment