Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo
Tanzania (TBA),Mhandisi Elius Mwakalinga (wa tatu kulia), akitoa maelezo
kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Fedha za Serikali (PAC), kabla ya
kutembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za Bunju B jijini Dar es Salaam jana
zinazojengwa na wakala huo. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa kamati
hiyo, Josephat Asunga.
Baadhi ya maofisa wa TBA wakiwa
kwenye mkutano na
wajumbe wa kamati hiyo.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo
Tanzania (TBA),Mhandisi Elius Mwakalinga (wa pili kushoto), akitoa maelezo
kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Fedha za Serikali (PAC), walipotembelea
mradi wa ujenzi wa nyumba Bunju B jijini Dar es Salaam jana. Wa nne kushoto
ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Josephat Asunga.

Baadhi ya nyumba zinazojengwa katika
mradi wa Bunju B
SHARE
No comments:
Post a Comment