Baadhi ya wanafunzi wa Shule za
Msingi na Sekondari wakiwa katika matembezi ya Maadhimisho ya Chama Cha
Girl Guides Tanzania (TGGA) ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho
Duniami, Roden Barden Powell yaliyofanyika Manispaa ya Temeke Dar es
Salaam.Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa TGGA Tanzania, Profesa Martha
Qorro na Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania,
Kamishna Mkuu wa TGGA Tanzania, Symphorosa Hangi akiwasalimia wanafunzi ambao ni wanachama a TGGA Temeke
Wanafunzi wanachama wa TGGA
Temeke wakiandamana wakati wa maadhimisho hayo yaliyofanyika katika
Shule ya Tandika wilayani Temeke, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Viongozi wa TGGA wakipiga makofi wakati wa kuyapokea matembezi ya wanachama wa TGGA
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TGGA
Kaimu Ofisa Tarafa Chang’ombe,
Hezron Mweladzi (kushoto) aliyemwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Temeke,
Felix Lyaniva akizungumza jambo wakati wa Madhimisho ya Chama Cha Girl
Guides Tanzania ya kumuenzi mwanzilishi wa chama hicho. Roden Barden
Powell… Kulia ni Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi na Mwenyekiti
wa Chama hicho,Martha Qorro
Wanafunzi hao wakiimba nyimbo wakati wa maadhimisho hayo
Wanafunzi wakiwa katika igizo la
mchezo wa kuelimisha na kukataa kurubuniwa na wanaume. wa katikati ni
Eunice Joseph, kushoto ni Hajra Mhamedy na kulia ni Seiph Kingwande ,
Wanafunzi wakiwa katika igizo,
kushoto ni Eunice Joseph kama mwanafunzi, kulia aliyekaachini ni ni
kama Daktari aliyekuwa akimpima mwanafunzi aliyekuwa na ujauzito Husna
Mussa na wakatikati ni Farider Mohammed kama mzazi wa mwanafunzi
Kamishna wa TGGA Temeke, Komba akizungumza jambo wakati wa maadhimisho hayo
Profesa Qorro akihutubia wakati wa maadhimisho hayo
Profesa Qorro akiwaelekeza jambo wanafunzi
Profesa Qorro akiagana na wanafunzi baada ya maadhimisho hayo kumalizika.
SHARE
No comments:
Post a Comment