BARAZA la Seneti la Marekani limepiga kura kuridhia Montenegro kuwa
mwanachama mpya wa jumuiya ya kujihami ya NATO katika hatua ambayo
wanaounga mkono utanuzi wa jumuiya hiyo wanasema itatuma ujumbe mzito wa
Urusi.
Rais wa Marekani, Donald Trump Uamuzi wa maseneta 97 kuunga mkono na wawili kupinga
unaifungulia mlango hatua ya mwisho ya kuuidhinisha uamuzi huo katika
siku chache zijazo.
Rais wa Marekani Donald Donald Trump umewahamiza
wabunge kuliunga mkono taifa hilo dogo la eneo la Balkan. Kufikia sasa
nchi 25 kati ya 28 wanachama wa jumuiya ya NATO zimeridhia Montenegro
kujiunga na jumuiya hiyo.
No comments:
Post a Comment