Sera ya Marekani ya kuwa na subira
dhidi ya Korea Kaskazini imeisha, kulingana waziri wa maswala ya nje
nchini humo Rex Tillerson wakati wa ziara yake nchini Korea Kusini.
''Njia zote tulizotumia ziko wazi na sasa tunafuta njia nyengine za kidiplomasia ,usalama na kiuchumi'' ,alisema.- Marekani yatishia kuiadhibu Korea Kaskazini
- Silaha za nyuklia: Marekani yaionya Korea Kaskazini
- Korea Kaskazini yasema China ni kibaraka wa Marekani
- Ndege za kivita za Marekani zapaa Korea
Bwana Tillerson alizungumza muda mfupi baada ya kuzuru eneo lisilo na wanajeshi linazigawanya nchi hizo mbili za Korea
SHARE
No comments:
Post a Comment