Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko
wa Pensheni wa LAPF, James Mlowe (wa pili kulia), akimkabidhi moja ya
jaketi angavu (Reflector Jacket) kati ya majaketi 500 Mkuu wa Wilaya ya
Kisarawe, Happyness Seneda katika hafla iliyofanyika wilayani humo jana.
LAPF imetoa majaketi hayo kwa ajili ya kusaidia waendesha bodaboda ili
waweze kutambulika wakiwa katika shughuli zao za kila siku.Kutoka
kushoto ni Meneja wa Mfumo wa Uchangiaji wa Hiari wa LAPF, Hanim
Babiker, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, William Gama
na Meneja wa LAPF, Kanda ya Mashariki, Lulyalya Sayi.
SHARE
No comments:
Post a Comment