Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani (TECC), Bw. Sosthenes
Sambua (katikakati) akizungumzia awamu ya pili ya program ya VIA
Jiandalie Ajira ambayo imetangaza fursa za mafunzo ya ujasiriamali kwa
vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 24 kwa manispaa ya Mtwara, Mikindani,
Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam, Dodoma na Kibaha mkoani Pwani.
Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Rais na Kujitegemea (PTF),
Bi.Haigath Kitala na kushoto ni Afisa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Ujasiriamali na Ushindani (TECC), Bw. Sosthenes
Sambua (wa pili kutoka kulia) akizungumzia awamu ya pili ya program ya
VIA Jiandalie Ajira ambayo imetangaza fursa za mafunzo ya ujasiriamali
kwa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 24 kwa manispaa za Mtwara,
Mikindani, Manispaa zote za Mkoa wa Dar es Salaam, Dodoma na Kibaha
mkoani Pwani. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Rais na
Kujitegemea (PTF), Bi.Haigath Kitala, wa pili kutoka kushoto ni Afisa
Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, na kushoto ni Bi. Zahra Mahmoud,Meneja
Biashara wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Wakulima (TCCIA).
SHARE
No comments:
Post a Comment