Washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia mada zilizotolewa.
Maofisa wa Ubalozi wa Marekani pamoja na Mkufunzi huyo wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo .
Mkufunzi wa Mafunzo hayo Ricci Shryock akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo hayo.
Mwanablog Vero kutoka mkoani Arusha akipokea cheti chake.
Baadhi ya washiriki wakifurahia jambo kutoka kwa mkufunzo huyo wakati wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi
wa Mtandao wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku akipokea cheti
cha kuhitimu mafunzo ya uandishi wa habari (Multmedia Journalisim)
kutoka kwa Mkufunzi Ricci Shriyock kutoka nchini Senegal mara baada ya
kuhitimu mafunzo hayo yaliyoandaliwa , kufadhiliwa na Kufanyika kwenye
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam nchini Tanzania washiriki wa
mafunzo hayo ambao ni wanahabari wa Mitandao ya kijamii wamekabidhiwa
vyeti hivyo leo Ubalozini hapo.
(PICHA KWA HISANI YA UBALOZI WA MAREKANI)
Mwanablog Shamim Mwasha wa 8020fashion akipokea cheti chake.
Mwanablog Freddy Njeje wa Blog za Mikoani akipokea cheti chake.
Mwanablog Josephat Lukaza wa Lukazablog akipokea cheti chake.
Katibu
Msaidizi wa Chama cha Mabloga Tanzania Bloggers Network Krantz
Mwantepele ambaye pia alikuwa mratibu wa mafunzo hayo akipokea cheti
chake.
Miss Populler akipokea cheti chake mara baada ya mafunzo hayo.
SHARE
No comments:
Post a Comment