Waziri
mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba akionesha kitabu juu mara baada ya
kuzindua kitabu cha Mwanamke kiongozi katika ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.
Aisha Bdel na Liliani Liundi wakifurahi mara baada ya Jaji wa Rioba kuzindua kitabu cha Mwanamke kiongozi
Jaji
Joseph Sinde Warioba akizungumza na Wanawake waliofika katika kongamano
la Wanawake na Wasichana juu ya uongozi ndani ya Tanzania na kuzindua
kitabu kinachohusu Mwanamke
Dkt
Mwele Malecela akizungumza juu ya mambo aliyojifunza wakati anagombea
urais kupitia Chama Cha Mapinduzi na kuwataka wazazi kuwa ndio
waangalizi na kuwatoa hofu wasichana pindi wanapohitaji kujaribu jambo
lolote lenye manufaa kwa Jamii
Muendesha Mjadala Liliani Liundi akizungumza wakati wa kongamano hilo ambalo lilihusisha wasichana na wanawake
Mbunge Viti Maaalum Chadema , Susan Lymo akichangia jambo juu ya uozefu wake kama mwanamke katika Bunge la Jamhuri wa muungano
Waziri
mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba akiwa na Mama Anna Abdalah
wakiwasalimia wanafunzi wasichana wa chuo kiku cha Dar es Salaam ambao
walifika katika kongamano hilo
Baadhi ya washiriki waliokaa Safu ya mbele katika kongamno hilo
SHARE
No comments:
Post a Comment