Jaji
Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Ferdinand Wambali akifungua
Mafunzo ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha. Mahakama inaendesha Mafunzo kwa Majaji wote wa Tanzania
ambapo Majaji wa Mahakama ya Rufani wanahudhuria Mafunzo kuhusu namna ya
kutoa maamuzi ya Mahakama katika usikilizwaji wa kesi ngazi ya Rufaa,
Majaji Wafawidhi kuhusu Usimamizi wa uendeshaji wa kesi wakati Majaji
wengine wanapatiwa mafunzo kuhusu uongozi na usimamizi wa kuleta
mabadiliko.
SHARE
No comments:
Post a Comment