Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhe, Mhandisi Hamad Massauni aliyesimama, akitoa ufafanuzi
wa Bajeti ya Jeshi la Magereza kwa mwaka wa fedha 2017/2018 katika
Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama
wakati wa Mapitio ya Bajeti ya mwaka ujao wa fedha kwa Majeshi yaliyopo
katika Wizara hiyo, ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa Vikao
vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa
kuanza mapema tarehe nne mwezi Aprili mwaka huu, Kikao hicho kimefanyika
leo katika ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu Dodoma [UDOM] mkoani
Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment