
Msaidizi wa Askofu, jimbo kuu Katoliki
Arusha, Prosper Lyimo akiweka shada la maua kwenye kaburi la Waziri Mkuu
wa zamani, Hayati Edward Moringe Sokoine wakati wa ibada ya kumbukumbu
ya kifo cha kiongozi huyo miaka 33 iliyopita, iliyofanyika nyumbani kwa
Sokoine wilayani Monduli.
SHARE
No comments:
Post a Comment