Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemjulia hali mtoto wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Khalfan
Kikwete ambaye amelazwa katika wodi ya Sewa Haji katika hospitali ya
Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam,Pichani kulia ni Rais Mstaafu Dkt
Jakaya Kikwete akiwa na Mkewe Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
SHARE
No comments:
Post a Comment