TRA

TRA

Tuesday, April 25, 2017

MISS TANZANIA SUPERMODEL ATEMBELEA BUNGE MJINI DODOMA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Naibu Waziri wake Mhe.Anastazia Wambura,Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mwigulu Nchemba, baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wakiwa katika picha ya pamoja na Mshindi wa Miss Tanzania Supermodel Asha Mabula katika viwanja vya Bunge mara baada ya mrembo huyo kutembelea Bungeni Mjini Dodoma leo Aprili 25, 2017.(PICHA NA DAUDI MANONGI-MAELEZO)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger