
Ni kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kila siku, leo
nimeipata hii kutoka nchini Swaziland ambapo Mfalme Mswati III ameagiza
kufutwa kwa utaratibu wa Talaka akidai kuwa hauendani na tamaduni za
nchi hiyo.
Mfalme
Mswati ametoa kauli hiyo kwa viongozi wa dini na kuwaagiza kujadili
kuhusu suala hilo na kuwashawishi wananchi ili sheria ipitishwa na
kuanza kutumika rasmi ingawa agizo hilo limeonekana kupingwa na wanawake
ambao inasemekana wamekuwa wakiendeshwa na mfumo dume zaidi nchini
humo.
SHARE










No comments:
Post a Comment