Wanafunzi
wa Tanzania wanaosoma Chuo Kukuu cha (Istanbul Technical University
(ITU)uturuki wakisherekea siku ya muungano jana mjini Istanbul mjini
Istambul , sherehe hizo zimefanyika ikiwa ni kuadhimisha miaka 53 ya
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo walishiriki katika michezo
mbalimbali na burudani fuatilia matukio ya picha chini ili kujua sherehe
zilivyokuwa.
(Photos by Doreen Mlote, Engineering Student ITU ) .
(Photos by Doreen Mlote, Engineering Student ITU ) .
SHARE
No comments:
Post a Comment