NA K-VIS BLOG NA MASHIRIKA YA HABARI
Bw.Isaac(mume),
naye alifariki dakika 40 baadaye, familia yake ilisema na kuongeza, “huwezi
kupenda kuona wanaondoka” alisema mjukuu William Vatkin, unaweza kuomba kwa
jambo linguine lolote, alisema.
“Mapenzi
yao yalikuwa madhubuti, kwa kifupi hawakuweza kuishi tofauti” alisema binti ya marehemu
wanandoa hao, Clara Gesklin wakati wa mazishi yao ya pamoja. “siku zote
walikuwa katika upendo hadi umauti katika sekunde ya mwisho” alisema Rabbi
Barry Schechter, ambaye ndiye akiyeongoza ibada ya mazishi nyumbani nje kidogo
ya Chicago kwenye mji wa Arlington Heights.
Wafanyakazi
wa hospitali ya Park waliwakuta Bwana na Bibi Vatkin, wakiwa hawajibu kitu na
walikuwa wakipumua kwa shida sana Jumamosi na wakaamua kuwalaza vitanda jirani
na wanafamilia, waliwashikanisha mikono yao.
Marehemu
hao wameacha watatu huko Skokie, Illinois na walikuwa na ukaribu mkubwa na
wajukuu zao, familia ilisema.
Bw.
Vatkin alikuwa msambaza nyama maarufu na Bibi Vatkin yeye alikuwa mama wa
nyumbani
SHARE
No comments:
Post a Comment