
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Mabalozi Wanane waTanzania
Walioteuliwa hivi karibuni, Ambao Walifika Ofisini kwake Mjini
Dodoma 21/April/2017 kumuaga kwa ajili ya kwenda Kuanza Kazi ya
kuiwakilisha Tanzania katika nchi walizo pangiwa
SHARE
No comments:
Post a Comment