TRA

TRA

Saturday, April 22, 2017

PIGO KUBWA MAN UNITED, ZLATAN NJE

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !




Manchester United itamkosa mshambulizi wake nyota, Zlatan Ibrahimovic hadi mwaka 2018.
Zlatan aliumia katika mechi ya Europa baada ya kuruka juu, wakati anatua mguu wake ulipinda kwenda nyuma.Imeelezwa ameumia misuli mikubwa ambayo imechanika katika goto la mguu wake wa kulia.Hizi ni habari mbaya kwa mashabiki wote wa Man United kumkosa mkongwe huyo kwa kuwa katika msimu wa kwanza tu alishafunga mabao 28.
Siku yake ya kutimiza miaka 36, mwezi Oktoba, mwaka huu itamkuta Zlatan akiwa na nje.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger