Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang (katikati) akisisitiza
jambo wakati wa mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi
wa kati mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Naibu Mkurugenzi
wa shirika hilo Bw. Roger Nord na kushoto ni Gavana wa Benki Kuu ya
Tanzania Prof. Benno Ndulu.
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
Prof. Benno Ndulu (kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mkutano wa
kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema hii leo
jijini Dar es Salaam, katikati ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika
la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang na kulia ni Naibu Mkurugenzi wa
shirika hilo Bw. Roger Nord.
Naibu Mkurugenzi wa Shirika la
Fedha Duniani (IMF) Bw. Roger Nord (kulia) akiwa katika mkutano wa kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati mapema
hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirika la Fedha Duniani (IMF) Dkt. Tao Zhang na kushoto ni Gavana wa
Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
kujadili malengo ya Tanzania kufikia uchumi wa kati wakiendelea na
mkutano mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo
SHARE
No comments:
Post a Comment