Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (aliyenyoosha kidole), akizungumza na wabunge kutoka
kushoto, Nape Nnauye, Daniel Nsanzugwanko na Zitto Kabwe ndani ya ukumbi
wa bunge mjini Dodoma leo Mei 17, 2017. Aliyeipa camera kisogo jina
lake halikuweza kupatikana mara moja.
Naibu Waziri wa Fedha
na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Prof Sospeter Muhongo akizungumza jambo na Naibu
Waziri wake Mhe.Dk.Medard kalemani katika kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Mbunge wa Viti
Maalum (CCM) Mhe.Zaynab Vullu akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani
Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa
Kuteuliwa Mhe.Abdallah Bulembo akiuliza
swali katika kikao cha Ishirini na Saba
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais-TAMISEMI Mhe.George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na Saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais- Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge katika kikao cha
Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu
Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais- Utumishi
na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki leo katika viwanja vya Bunge Mjini Dodoma.
Waziri wa Mambo
ya Ndani Mhe.Mwigulu Nchemba akizungumza
jambo na Waziri wa Ulinzi na JKT Mhe.Dk Hussein Mwinyi,Waziri wa
Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Mhe.William Lukuvi na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Magembe
katika kikao cha Ishirini na Saba cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Waziri wa
Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa Viti
Maalum(CCM) Mhe.Mary Mwanjelwa akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017
Mbunge wa
Sikonge(CCM) Mhe.Joseph Kakunda akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao
cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Waziri wa
Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Charles Mwijage akisoma Hotuba ya Mapato na
Matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 leo katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri Mkuu
Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.(PICHA ZOTE NA DAUDI MANONGI WA MAELEZO)
SHARE
No comments:
Post a Comment