Rais wa Ufaransa
Emmanuel Macron ametaka kufanyika marekebisho makubwa ndani ya bara la
Ulaya kufuatia maongezi kati yake na Kansela wa Ujerumani Bi Angela
Merkel mjini Berlin.
Kwa upande wake Kansela wa Ujerumani Bi Angela Merkel amesema kutakua na hatua katika kuweka mambo sawa hususan masuala ya kodi.
Kabla ya kuelekea Ujerumani, Macron amemteua Edouard Philippe kuwa waziri mkuu mpya akitokea chama cha mrengo wa kati cha Republican.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment