Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza
kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo
Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Picha Zote na Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, DODOMA
Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na
Jeshi la kujenga Taifa na wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo
Dkt.Florens Turuka na Naibu Katibu Mkuu Imaculate Ngwalle,Mkuu wa
Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo,Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibolwa na Meja Jenerali Michael Isamuhyo
wa JKT wakiwa katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei.
: Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni
Jenerali James Mwakibolwa akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga
Taifa Meja Jenerali Michael Isamuhyo katika viwanja vya Bunge leo Mjini
Dodoma.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na
Usalama Jenerali Venance Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni
Jenerali James Mwakibolwa wakizungumza jambo na Viongozi mbalimbali wa
Vyombo vya Ulinzi na Usalama leo katika viwanja vya Bunge leo Mjini
Dodoma.
Mbunge wa Kavuu(CCM) Mhe,Dkt
Pudencia Wilfred akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais
–TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa Muhambwe (CCM) Mhe,Eng
Atashasta Justus akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Josephine Genzabuke akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na
Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei
Waziri wa Afya,Maendeleo ya
Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akifafanua jambo katika kikao cha Ishirini
na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16,
2017.
Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na
Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Suzan Kolimba na Naibu
Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angela Mabula katika
kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya
wabunge katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Martha Mlata akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11 leo Mjini Dodoma
Mei.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM)
Mhe.Halima Bulembo akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na Sita
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11 leo Mjini
Dodoma Mei.
Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la
Kujenga Taifa Mhe.Dkt Hussein Mwinyi akisoma hotuba ya Makadirio ya
Mapato na Matumizi ya Wizara yake katika kikao cha Ishirini na Sita cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment