Mmoja
kati ya manusura watatu wa ajali ya wanafunzi wa Lucky Vincent
amefanyiwa upasuaji wa bega ‘shoulder’.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa
na mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu imeeleza kuwa mtoto
Doreen amefanyiwa pia upasuaji wa nyonga ‘hip’ ambapo
baadae leo mtoto huyo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa taya ‘jaw’.
Doreen anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mwingine hapo kesho ambapo itakuwa
ni katika uti wa mgongo ‘spine’.
SHARE
No comments:
Post a Comment