Jumanne, Mei 23 kutoka Lazaro Nyalandu
Saa 3:35 usiku (Saa za Afrika Mashariki)
Habari KUTOKA Mercy Hospital, Sioux City IA
MTOTO Doreen akiwa na MAMA yake mapema katika WODI ya WATOTO Mercy Hospital.
MADAKTARI wamesema tangu JUZI MTOTO Doreen alianza kupata HISIA kwenye MIGUU yake yote miwili, BAADA ya UPASUAJI kwenye UTI wa MGONGO ambapo imesemwa alikuwa emeumia VIBAYA.
Sote tuendelee kumkumbuka katika SALA na DUA zetu ili MKONO wa MUNGU umguse katika SAA hii ya KUJARIBIWA kwake***
SHARE
No comments:
Post a Comment