Mbunge wa Viti Maalum, Mheshimiwa Amina Mollel akizungumza
jambo wakati wa semina ya Wabunge wote iliyoandaliwa na Wizara ya Maliasili na
Utalii inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili Malikale na Maendeleo ya
Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,
Maliasili na Utalii, Mheshimiwa Mhandisi Atashasta Ndetiye akiongoza
semina ya Wabunge wote inayohusu umuhimu wa uhifadhi wa Maliasili
Malikale na Maendeleo ya Utalii nchini Tanzania, iliyofanyika Ukumbi wa
Bunge Mjini Dodoma. kushoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Prof.
Jumanne Maghembe
SHARE
No comments:
Post a Comment